• HABARI MPYA

  Jumatano, Agosti 24, 2016

  LIVERPOOL YAUA 5-0 KOMBE LA LIGI ENGLAND

  Wachezaji wa Liverpool wakishangilia ushindi wa mabao 5-0 katika mchezo wa Kombe la Ligi England jana dhidi ya Burton Albion Uwanja wa Pirelli mjini Burton. Mabao ya Liverpool yalifungwa na Divock Origi, Roberto Firmino, Tom Naylor aliyejifunga na Daniel Sturridge mawili PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAUA 5-0 KOMBE LA LIGI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top