• HABARI MPYA

  Jumapili, Agosti 28, 2016

  SIMBA SC NA JKT RUVU KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Kiungo wa Simba SC, Mwinyi Kazimoto akituliza mpira kifuani mbele ya kiungo wa JKT Ruvu, Hassan Dilunga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 0-0   
  Mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo (kulia) akikimbilia mpira dhidi ya beki wa JKT Ruvu, Pera Mavuo
  Kipa wa JKT Ruvu, Said Kipao akiwa ameruka juu kudaka mpira mrefu uliotokea pembeni
  Beki wa JKT Ruvu, Rahim Juma akimuacha chini mshambuliaji wa Simba SC, Frederic Blagnon
  Kiungo wa Simba SC akipasua kwenye msitu wa mabeki wa JKT Ruvu
  Salim Aziz Gilla wa JKT Ruvu (kulia) akiuzuia mpira dhidi ya kiungo wa Simba SC, Jamal Mnyate
  Beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akimtoka kiungo wa JKT, Ismail Amour
  Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajib (kulia) akimtoka beki wa JKT Ruvu, Rahim Juma 
  Kikosi cha Simba SC kabla ya mchezo wa jana
  Kikosi cha JKT Ruvu kabla ya mchezo wa jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA JKT RUVU KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top