• HABARI MPYA

  Jumapili, Agosti 28, 2016

  ANGEFUNGA LINGEKUWA BAO BORA LA MSIMU, LAKINI...

  Kiungo wa Yanga SC, Deus Kaseke akibinjuka staili ya baiskeli kuunganisha krosi ya beki Hassan Kessy katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya African Lyon Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Hata hivyo, mpira huo ulipitiliza upande wa pili, haukuingia nyavuni, ingawa Yanga ilishinda 3-0.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ANGEFUNGA LINGEKUWA BAO BORA LA MSIMU, LAKINI... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top