Mfungaji wa bao pekee la West ham United katika ushindi wa 1-0 dhidi ya AFC Bournemouth, Michail Antonio (kulia) akiwania mpira dhidi ya Adam Smith (kushoto) ana Andrew Surman (katikati) katika mchezo wa kwanza wa timu yake kwenye Uwanja wao mpya, Uwanja wa Olimpiki, London. Antonio alifunga dakika ya 85 katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment