• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 27, 2016

  RASHFORD APIGA BAO LA DAKIKA YA MWISHO MAN UNITED YASHINDA 1-0 UGENINI

  Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao pekee la ushindi dakika ya 90 na ushei ikiwalaza 1-0 wenyeji Hull City Uwanja wa KCOM katika mchezo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RASHFORD APIGA BAO LA DAKIKA YA MWISHO MAN UNITED YASHINDA 1-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top