Winga wa kimataifa wa Wales, Gareth Bale akiruka kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili Real Madrid katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Real Sociedad katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Manispaa de Anoeta mjini Donostia-San. Bao lingine la Real lilifungwa na Marco Asensio PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment