Michy Batshuayi akishangilia baada ya kuifungia Chelsea mabao mawili katika ushindi wa 3-2 Uwanja wa Stamford Bridge dhidi ya Bristol Rovers kwenye mchezo wa Kombe la Ligi England. Bao lingine la Chelsea lilifungwa na Victor Moses, wakati ya Bristol yalifungwa na Paul Hartley na Ellis Harrison PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment