Kutoka kushoto; Margaret Wambui wa Kenya, Maryna Arzamasava wa Belarus, Francine Niyonsaba wa Burundi na Caster Semenya wa Afrika Kusini wakimalizia mbio za mita 800 wanawake Olimpiki ya Rio 2016. Semenya aliyetumia muda wa 1:55.28 alishinda Medali ya Dhahabu, Niyonsaba aliyetumia 1:56.49 alishinda Fedha na Wambui aliyetumia 1:56.89 alishinda Shaba PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment