Mshambuliaji Janie Vardy akikimbia na mpira kushangilia baada ya kuwafungia mabingwa watetezi, Leicester City katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Swansea City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa King Power. Bao lingine la Leicester lilifungwa na Wes Morgan huku Riyad Mahrez akikosa penalti baada ya Shinji Okazaki kuchezewa faulo na beki Jordi Amat na bao la Swansea lilifungwa na Leroy Fer PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Who blinks first over Reiss Nelson? – Opinion
-
With Arsenal expected to continue trimming the squad before the transfer
window closes, Reiss Nelson’s future remains one of the more intriguing
situations...
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment