• HABARI MPYA

  Jumanne, Agosti 23, 2016

  YANGA NA MAZEMBE KATIKA PICHA LEO LUBUMBASHI

  Kiungo wa Yanga, Juma Mahadhi akipambana na mshambuliaji wa Mali, Adama Traore wa TP Mazembe katika mchezo wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika leo Uwanja wa Mazembe mjini Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Mazembe imeshinda 3-1.
  Adama Traore akimiliki mpira pembeni ya beki wa Yanga, Hassan Kessy
  Adama Traore akimfunga tela Hassan Kessy
  Adama Traore akipambana na kiungo Mzimbabwe wa Yang, Thabani Kamusoko
  Beki wa Yanga, Mbuyu Twite akipambana na mchezaji wa TP Mazembe
  Kikois cha Yanga leo Lubumbashi
  Kikosi cha TP Mazembe leo Lubumbashi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA NA MAZEMBE KATIKA PICHA LEO LUBUMBASHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top