Mshambuliaji wa Manchester City, Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao mawili ikishinda 3-1 dhidi ya West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Bao lingine la City limefungwa na Fernandinho, wakati la West Ham limefungwa na Michail Antonio PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment