Mfungaji wa bao la ushindi la Chelsea, Diego Costa (kulia) akifurahia na wenzake bao hilo la dakika ya 87 dhidi ya wenyeji Watford Uwanja wa Vicarage Road. Bao lingine la Chelsea lilifungwa na Michy Batshuayi dakika ya 80, baada ya Etienne Capoue kutangulia kuwafungia wenyeji dakika ya 55 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Micron's $50 Billion AI Buildout Is Transforming Boise
-
The memory boom is creating jobs, wealth and pressure.
28 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment