WILLIAM FAHNBULLAH ALIKUWA BALAA NA YANGA WALIPATA SHIDA!
Mshambuliaji wa Kajumulo WS, William Fahnbullah aliyewahi kung’ara na Simba SC akiwatoka wachezaji wa Yanga, Yahya Issa na Ephraim Makoye katika mchezo wa Ligi Kuu ya Muungano mwaka 2001 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment