• HABARI MPYA

  Jumatano, Agosti 31, 2016

  MANJI ALIVYOWAONGOZA WANA YANGA KUUAGA MWILI WA BABA YAKE DIDA

  Mwenyekiti wa Yanga, Yussuf Manji akitoa heshima zake za mwisho mbele ya mwili wa wa baba wa kipa wa timu yake, Deo Munishi 'Dida' leo Kanisa Katoliki, Chang'ombe, Temeke, Dar es Salaam.  

  Manji akisalimiana na wapenzi wa timu hiyo waliojitokeza kuuaga mwili wa baba yake Dida aliyefariki Jumapili, ambaye anasafrisihwa Kilimanjaro kwa mazishi  Ivo Mapunda na Muhogo Mcbhungu walihudhuria pia

  Makamu wa Rais wa Simba, Geoffrey Nyange 'Kaburu' alikuwepo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MANJI ALIVYOWAONGOZA WANA YANGA KUUAGA MWILI WA BABA YAKE DIDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top