• HABARI MPYA

  Jumatatu, Agosti 29, 2016

  YANGA NA AFRICAN LYON KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akienda chini baada ya kupamiana na beki wa African Lyon, William Otong katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-0
  Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akienda hewani kuuweka sawa katika himaya yake mpira wa juu mbele ya mabeki wa Lyon
  Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko akitia krosi baada ya kumpita beki wa Lyon
  Kiungo Haruna Niyonzima akitoa pasi mbele ya mchezaji wa Lyon
  Beki wa African Lyon, Baraka Jaffar akiwafunga tela wachezaji wa Yanga, Hassan Kessy (kulia) na Simon Msuva (nyuma) 
  Kiungo Deus Kaseke (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Lyon 
  Winga Simon Msuva wa Yanga, akimlamba chenga beki wa Lyon, Omar Salum
  Beki wa Lyon, Halfani Twenye akimuwekea mguu beki wa Yanga, Mwinyi Mngwali kumzuia kupiga mpira
  Kikosi cha African Lyon jana 
  Kikosi cha Yanga jana Uwanja wa Taifa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA NA AFRICAN LYON KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top