• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 27, 2016

  TANZANIA NA IVORY COAST KATIKA PICHA 'KARUME BEACH' JANA

  Mchezaji wa Tanzania, Rolland Revocatus Kessy (kushoto) akijaribu kumzuia mchgezaji wa Ivory Coast, Aka Kablan Frederic katika mchezo wa kwanza hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania tiketi ya Faiali za Soka la Ufukweni Afrika baadaye mwaka mjini Lagos, Nigeria uliofanyika jana Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Ivory Coast ilishinda 7-3 
  Ahmada Abdi wa Tanzania (kushoto) akikimbilia mpira dhidi ya Djeddjed Guy Hans (kulia) na Djere Fabien Sola (katikati) wa Ivory Coast
  Samuel Sarungi Opanga wa Tanzania (kushoto) akimtoka Kouassitch Daniel wa Ivory Coast (kulia)
  Wachezaji wa Ivory Coast na Tanzania wakigombea kwenye jana Karume
  Kikosi cha Tanzania jana Uwanja wa Karume
  Kikosi cha Ivory Coast jana Uwanja wa Karume 
  Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (katikati) akiwa na viongozi wengine wa ngazi mbalimbali za soka nchini 
  Kocha wa Tanzania, John Jacob Mwansasu (kushoto) akizungumza na wachezaji wake wakati wa mapumziko jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TANZANIA NA IVORY COAST KATIKA PICHA 'KARUME BEACH' JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top