• HABARI MPYA

  Jumatano, Agosti 31, 2016

  STOKE CITY YAMSAJILI KWA MKOPO BONY

  Stoke City imekamilisha usajili wa mkopo wa mshambuliaji Wilfried Bony kutoka Manchester City, zote za England. The Potters wamelipa ada ya Pauni Milioni 2 na watakuwa wanampa mshahara wa Pauni 120,000 kwa wiki Bony PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: STOKE CITY YAMSAJILI KWA MKOPO BONY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top