Wachezaji wa Yanga SC wakiwa mazoezini kwenye Uwanja wa Chuo cha Sayansi ya Jamii (sasa chuo cha Mwalimu Nyerere), Kigamboni, Dar es Salaam mwaka 2000 kujiandaa na moja ya mechi zao. Kutoka kushoto Said Mwamba ‘Kizota’ (sasa marehemu), Edibily Lunyamila, Freddy Mbuna, Jaffar Abbas na Mohammed Abdulkadir ‘Tash’ kwa nyuma. Hiyo ilikuwa kambi maarufu ya Yanga wakati wa uongozi wa Tarimba Abbas ‘Thabo Mbekhi’ mwaka 1998 hadi 2001
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment