• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 26, 2016

  SAMATTA APEWA KUNDI LA KAWAIDA EUROPA LEAGUE

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
  TIMU ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta, KRC Genk imepangwa Kundi F pamoja na Athletic Bilbao ya Hispania, Rapid Vienna ya Austria na Sassuolo ya Italia katika Europa League.
  Si kundi gumu wala jepesi na Genk kama itagagangamala inaweza kumaliza kwenye nafasi mbili za juu na kwenda kusonga mbele.
  Katika droo iliyopangwa leo, Kundi A kuna MANCHESTER UNITED, Fenerbahce, Feyenoord na Zorya Luhansk. 
  Kundi B; Olympiacos, APOEL Nicosia, Young Boys na Astana. 
  Mbwana Ally Samatta KRC Genk imepangwa Kundi F pamoja na Athletic Bilbao ya Hispania, Rapid Vienna ya Austria

  Kundi C; Anderlecht, Saint-Etienne, Mainz na Gabala. 
  Kundi D; Zenit St Petersburg, AZ Alkmaar, Maccabi Tel Aviv na Dundalk. 
  Kundi E; Viktoria Plzen, AS Roma, Austria Vienna na Astra Giurgiu. 
  Kund F; Athletic Bilbao, Genk, Rapid Vienna na Sassuolo. 
  Kundi G; Ajax, Standard Liege, Celta Vigo na Panathinaikos.
  Kundi H; Shakhtar Donetsk, Braga, Gent na Konyaspor. 
  Kundi I; Schalke, Salzburg, Krasnodar na Nice. 
  Kundi J; Fiorentina, PAOK, Slovan Liberec na Qarabag.
  Kundi K; Inter Milan, Sparta Prague, SOUTHAMPTON na Hapoel Be'er Sheva.
  Kundi L; Villarreal, Steaua Bucharest, Zurich na
  Osmanlispor. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SAMATTA APEWA KUNDI LA KAWAIDA EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top