• HABARI MPYA

  Jumatatu, Agosti 22, 2016

  YANGA VETERANI ILIVYOTWAA UBINGWA WA KOMBE LA AZAM FRESCO JANA

  Beki wa Mbagala Kuu, akibinuka tik tak mbele ya kiungo wa Yanga Veterani, Athumani China katika mchezo wa fainali wa Kombe la Azam Fresco jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam
  Mshambuliaji wa Yanga Veterani, Aziz Hunter akijiweka sawa kuutuliza mpira kwenye himaya yake mbele ya beki wa Mbagala Kuu
  Mshambuliaji wa Yanga, Kipanya Malapa (kulia) akipambana na wachezaji wa Mbagala Kuu 
  Mchezaji wa Mbagala Kuu (kushoto) akimgtoka beki wa Yanga, Bakari Malima 'Jembe Ulaya'
  Nahodha wa Mbagala Kuu, Heri Morris akipokea zawadi zao za ushindi wa pili kutoka kwa Mwakilishi wa kampuni ya Bakhresa, Jaffar Iddi. Mwingine kushoto ni Mratibu wa mashindano, Osman Kazi 
  Nahodha wa Yanga, Ally Yussuf 'Tigana' akipokea zawadi zao za ubingwa wa Fresco Cup kwa Mwakilishi wa kampuni ya Bakhresa, Jaffar Iddi. Mwingine kushoto ni Mratibu wa mashindano, Osman Kazi 
  Beki wa Yanga, Nsajigwa Shadrack 'Fusso' akimshuhudia mchezaji wa Mbagala Kuu akienda chini mbele ya mpira
  Wafungaji wa mabao ya Yanga Paschal Kalyasa (kulia) aliyefunga la pili na Ally Yussuf Tijana (katikati) aliyefunga la kwanza wakipongezana. Kushoto ni Nsajigwa 
  Kiungo wa Yanga Veterani, Deo Lucas akimuacha chini beki wa Mbagala Kuu
  Kiungo wa ulinzi wa Yanga, Paachal Kalyasa akitafuta maarifa ya kumpita mchezaji wa Mbagala Kuu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA VETERANI ILIVYOTWAA UBINGWA WA KOMBE LA AZAM FRESCO JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top