Mshambuliaji wa Poland, Robert Lewandowski (kushoto) akijiweka sawa kwa ajili ya mpira mbele ya Jeffrey Bruma wa Uholanzi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa Uwanja wa Energa mjini Gdansk. Uholanzi ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Vincent Janssen na Georginio Wijnaldum, wakati la wenyeji, Poland lilifungwa na Artur Jedrzejczyk PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment