| Kiungo mpya mshambuliaji wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa (kulia) akiwa na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu hiyo, Jerry Muro usiku huu Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam tayari kwa safari ya Antalya, Uturuki kuungana na wachezaji wenzake kwa kambi ya kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe wiki ijayo Dar es Salaam. Chirwa aliyejiunga na Yanga kutoka FC Platinums ya Zimbabwe alirejea nchini mara moja kukamilisha taratibu za usajili wake. |
0 comments:
Post a Comment