Beki wa kati wa Juventus, Giorgio Chiellini (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Italia bao la kwanza dakika ya 33 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya mabingwa watetezi, Hispania kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora Euro 2016 Uwanja wa Stade de France mjini Paris, Ufaransa. Bao la pili lilifungwa na Graziano Pelle dakika ya 90 na ushei na sasa Italia itamenyana na mabingwa wa dunia, Ujerumani katika Robo Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment