• HABARI MPYA

  Sunday, June 26, 2016

  UJERUMANI YAUA 3-0 NA KUTINGA ROBO FAINALI EURO 2016

  Beki Jerome Boateng akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia Ujerumani bao la kwanza katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Slovakia kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora ya Euro 2016 usiku leo Uwanja wa Stade Pierre-Mauroy mjini Villeneuve d'Ascq, Ufaransa. Mabao mengine ya Ujerumani yamefungwa na Mario Gomez na Julian Draxler wakati Mesut ozil alikosa penalti  PICHA ZAIDI GONGA HAPA

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UJERUMANI YAUA 3-0 NA KUTINGA ROBO FAINALI EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top