• HABARI MPYA

  Jumatatu, Juni 27, 2016

  COLOMBIA YAIPIGA MAREKANI 1-0 NAFASI YA TATU COPA AMERICA

  Carlos Bacca akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Colombia ikiilaza Marekani 1-0 katika mchezo wa kuwania nafasi ya tatu michuano ya Copa America Uwanja wa Chuo Kikuu cha Phoenix mjini Glendale, Marekani  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: COLOMBIA YAIPIGA MAREKANI 1-0 NAFASI YA TATU COPA AMERICA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top