Nahodha wa England, Wayne Rooney akijilaumu baada ya kupoteza nafasi nzuri ya kufunga dhidi ya Slovakia katika mchezo wa Kundi B, Euro 2016 usiku huu Uwanja wa Stade Geoffroy-Guichard mjini Saint-Etienne, Ufaransa uliomalizika kwa sare ya 0-0. Kwa matokeo England inamaliza na pointi tano katika nafasi ya pili, nyuma ya Wales iliyomaliza na pointi sita na inaweza kukutana na Ureno katika hatua ya 16 Bora PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment