• HABARI MPYA

  Jumamosi, Juni 25, 2016

  WALES YATINGA ROBO FAINALI EURO 2016

  Winga wa Wales, Gareth Bale akimtoka beki wa Ireland ya Kaskazini katika mchezo wa hatua ya 16 Bora Euro 2016 leo Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris, Ufaransa. Wales imeshinda 1-0 na kwenda Robo Fainali, bao pekee la Gareth McAuley dakika ya 15 akimalizia krosi ya Gareth Bale PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WALES YATINGA ROBO FAINALI EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top