Mgeni rasmi akisalimiana na wachezaji wa timu ye Mseto ya Morogoro Uwanja wa Jamhuri mjini humo. Mseto ndiyo walikuwa bingwa wa Ligi Daraja la Kwanza (sasa Ligi Kuu) Tanzania Bara mwaka 1974 na kuweka rekodi ya timu ya kwanza kutoka nje ya Dar es Salaam kutwaa taji hilo.
0 comments:
Post a Comment