• HABARI MPYA

  Saturday, June 25, 2016

  CAF YASHUSHA KONTENA LA JEZI YANGA, TFF YAMKABIDHI BARAKA

  Katibu wa Yanga, Baraka Deusdedit (kulia) akiandika jezi na vifaa vingine vya michezo walivyokabidhiwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) leo makao makuu ya shirikisho hilo, Uwanja wa Karume, Ilala, Dar es Salaam kutoka Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwa ajili ya mechi za Kundi A Kombe la Shirikisho la Soka Afrika
  Wanachama wa Yanga, maarufu kama 'Makomandoo' wakiwa wamepakia vifaa hivyo kwenye gari tayari kupelekwa makao makuu ya klabu, Jangwani
  Katibu wa Yanga, Baraka Deusdedit (katikati) akihakiki vifaa vilivyomo ndani ya maboksi
  Hapa mzigo unapakiwa kwenye gari kabla ya kupelekwa Jangwani
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CAF YASHUSHA KONTENA LA JEZI YANGA, TFF YAMKABIDHI BARAKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top