• HABARI MPYA

  Jumatano, Juni 29, 2016

  YANGA NA TP MAZEMBE KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Mshambuliaji wa Yanga, Mzimbabwe Donald Ngoma (kulia) akiwania mpira wa juu dhidi ya beki wa TP Mazembe ya DRC, Christian Luyindama katika mchezo wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mazembe ilishinda 1-0
  Mshambuliaji wa TP Mazembe ya DRC, Mtanzania Thomas Ulimwengu akimiliki mpira mbele ya beki wa Yanga, Kevin Yondan
  Kiungo wa Yanga, Deus Kaseke akimtoka beki wa TP Mazembe, Koffi Christian Raoul Kouame
  Kiungo wa Yanga, Waziri Mahadhi (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa TP Mazembe, Issama Mpeko
  Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima (kushoto) akitafuta maarifa ya kumtoka kiungo wa TP Mazembe, Nathan Sinkala 
  Kiungo wa Yanga, Obrey Chirwa akiwatoka wachezaji wa TP Mazembe
  Beki wa Yanga, Mbuyu Twite akiruka juu kupiga mpira kwa kichwa dhidi ya Jean Kasusula wa TP Mazembe 
  Beki wa Yanga, Juma Abdul akimpira beki wa Mazembe, Adama Traore
  Kikosi cha TP Mazembe kilichowafunga wenyeji, Yanga 1-0 jana
  Kikosi cha Yanga kilichopoteza mchezo wa nyumbani Kombe la Shirikisho jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA NA TP MAZEMBE KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top