• HABARI MPYA

  Friday, June 24, 2016

  ZIARA YA SERENGETI BOYS AIRTEL LEO

  Mwenyekiti wa Kamati ya Soka la Vijana ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ayoub Nyenzi akizungumza na wachezaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys wakati timu hiyo ilipotembelea makao makuu ya kampuni ya Airtel Tanzania, eneo la Morocco mjini Dar es Salaam leo
  Kocha wa Serengeti Boys, Bakari Shime akizungumza katika ziara hiyo
  Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF kwa programu za vijana, Mdenmark Kim Poulsen akizungumza na wachezaji wa Serengeti Boys 
  Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania, Beatrice Singano akiwapungia mkono wachezaji wa Serengeti Boys  
  Mmoja kati ya wachezaji wa Serengeti Boys akiongea wakati timu hiyo ilipotembelea ofisi za Airtel makao makuu
  Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania Beatrice Singano akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Serengeti Boys
  Wasanii walioandaliwa na Airtel wakitoa burudani katika ziara hiyo
  Beatrice Singano na Nyenzi wakiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Serengeti Boys
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ZIARA YA SERENGETI BOYS AIRTEL LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top