• HABARI MPYA

  Sunday, June 26, 2016

  QUARESMA AIPELEKA URENO ROBO FAINALI EURO 2016

  Winga wa Ureno, Ricardo Quaresma akishangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi timu yake dakika ya 117 ikiilaza 1-0 Croatia katika mchezo wa hatua ya 16 Bora Euro 2016 usiku huu Uwanja wa Stade Bollaert-Delelis mjini Lens, Ufaransa na kwenda Robo Fainali  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: QUARESMA AIPELEKA URENO ROBO FAINALI EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top