Nyota wa Wales, Gareth Bale akishangilia baada ya kuifungia timu yake katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Urusi kwenye mchezo wa Kundi B Euro 2016 usiku huu Uwanja wa Manispaa mjini Toulouse, Ufaransa. Mabao mengine ya Wales yamefungwa na Aaron Ramsey na Neil Taylor na sasa wanakwenda hatua ya 16 Bora kama vinara wa kundi hilo kwa pointi zao sita, moja zaidi ya England waliomaliza nafasi ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment