Wachezaji wa Chile wakishangilia ushindi wao wa 2-0 dhidi ya Colombia katika Nusu Fainali ya michuano ya Copa America Alfajiri ya leo Uwanja wa Soldier Field mjini Chicago, Illinois, Marekani kwa mabao ya Charles Aranguiz na Jose Pedro Fuenzalida. Chile ambao ndiyo mabingwa watetezi, sasa watamenyana na Argentina katika fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment