Xherdan Shaqiri akibinuka tik tak kuisawazishia Uswisi katika sare ya 1-1 na Polanda kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora Euro 2016 Uwanja wa Geoffroy-Guichard mjini Saint-Etienne, Ufaransa. Bao la kutangulia la Poland iliyoshinda kwa penalti 5-4 baadaye, limefungwa na Jakub Blaszczykowski. Poland sasa itacheza na mshindi kati ya Croatia na Ureno katika Robo Fainali Alhamisi Uwanja wa Stade Velodrome mjini Marseille PICHA ZAIDI GONGA HAPA
☕ Morning Recap: A look at Futaa's top stories from yesterday
-
Liverpool was given a lifeline in the Premier League title race after West
Ham held Man City to a 2-2 draw with Everton getting dragged to the
relegation f...
Sekunde 53 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni