• HABARI MPYA

  Jumanne, Juni 28, 2016

  HUO UKAGUZI WA LEO TAIFA WE ACHA TU!

  Askari wa jeshi la Polisi mwanamama, (kushoto) akimkagua shabiki wa kike anayeingia Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kutazama mchezo wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji, Yanga SC dhidi ya TP Mazembe ya DRC unaoanza Saa 10:00 jioni ya leo. Mashabiki wanaingia bure leo kutazama mchezo huo
  Askari wakiwagua mashabiki kabla ya kuingia uwanjani katika mchezo ambao hawakulipa viingilio
  Askari Polisi akimkagua kwa makini shabiki huyu kabla ya kuingia uwanjani 
  Ukaguzi wa leo ni wa kiwango cha juu na watu hawaruhusiwi kuingia hata na beki ndogo 
  Mama huyu akikaguliwa kwenye mkoba kabla ya kuingia uwanjani 
  Hapa mtu mzima anakaguliwa na askari mwenyewe katulia
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HUO UKAGUZI WA LEO TAIFA WE ACHA TU! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top