• HABARI MPYA

  Jumapili, Juni 26, 2016

  JOSHUA AMTWANGA KO BREAZEALE NA KUTETEA TAJI LA IBF

  Bondia Anthony Joshua (kushoto) akimuadhibu mpinzani wake, Dominic Breazeale katika pambano la kutetea mkanda wake wa IBF uzito wa juu usiku wa jana ukumbi wa O2 Arena mjini London, Uingereza. Joshua alishinda kwa Technical Knockout (TKO) raundi ya saba   PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  ANGALIA VIDEO YA PAMBANO...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: JOSHUA AMTWANGA KO BREAZEALE NA KUTETEA TAJI LA IBF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top