Kikosi cha timu ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys ambacho kilikata tiketi ya kucheza Fainali za Afrika mwaka 2005 nchini Gambia, lakini kikaondolewa baada ya kugundulika kumtumia beki Nurdin Bakari wa Simba akiwa amezidi umri. Serengeti hii ilizitoa Rwanda, Zambia na Zimbabwe
0 comments:
Post a Comment