• HABARI MPYA

  Jumatatu, Juni 27, 2016

  MAZOEZI YA MWISHO YANGA KABLA YA KUIVAA MAZEMBE KESHO TAIFA

  Winga mpya wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa (kulia) akimtoka beki Mtogo wa timu hiyo Vincent Bossou katika mazoezi yao ya leo mchana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kesho wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya kongo (DRC)
  Obrey Chirwa (kulia) akitafuta maarifa ya kumtoka Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro'
  Kiungo Said Juma 'Makapu' akimtoka kiungo mwenzake Mnyarwanda, Haruna Niyonzima
  Winga Geoffrey Mwashiuya (kulia) akipiga hesabu za kumfunga kipa Deo Munishi 'Dida'
  Obrey Chirwa (kulia) akijaribu kumpiga chenga beki Nadir Haroub 'Cannavaro'
  Kutoka kushoto Juma Abdul, Deus Kaseke na Mbuyu Twite aliyeipa mgongo kamera
  Kocha wa Yanga, Mholanzi Hans van der Pluijm akizungumza na Obrey Chirwa
  Kocha Pluijm akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mazoezi hayo
  Pluijm akimuelekeza kwa makini kiungo Mzambia, Thabani Kamusoko katika mazoezi ya leo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAZOEZI YA MWISHO YANGA KABLA YA KUIVAA MAZEMBE KESHO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top