Mchezaji wa Croatia, Ivan Perisic akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi dakika za lala salama ikiilaza 2-1 Hispania katika mchezo wa Kundi D Euro 2016 Uwanja wa Matmut-Atlantique mjini Bordeaux, Ufaransa. Hispania ilitangulia kwa bao la Alvaro Morata, kabla ya Nikola Kalinic kuisawazishia Croatia. Kwa matokeo hayo, Croatia inamaliza kileleni mwa kundi hilo kwa pointi zake saba, ikifuatiwa na Hispania iliyomaliza na pointi sita ambayo sasa inaweza kukutana na Italia katika hatua ya 16 Bora PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment