• HABARI MPYA

  Thursday, June 23, 2016

  IRELAND YAIPIGA 1-0 ITALIA NA KUFUZU 16 BORA EURO 2016, IBRAHIMOVIC 'OUT'

  Nyota wa Jamhuri ya Ireland, Robbie Brady akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao pekee ikiilaza 1-0 Italia katika mchezo wa Kundi E Euro 2016 usiku huu Uwanja wa Pierre-Mauroy mjini Villeneuve d'Ascq, Ufaransa. Pamoja na kufungwa, Italia inamaliza kileleni mwa kundi hilo kwa pointi zake sita sawa na Ireland na zote zinafuzu hatua ya 16 Bora  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Nahodha wa Sweden, Zlatan Ibrahimovic (Namba 10) akiruka juu kupiga mpira kichwa dhidi ya beki wa Ubelgiji, Thomas Vermaelen (Namba 3) katika mchezo wa Kundi E Euro 2016 usiku huu Uwanja wa Allianz Riviera mjini Nice, Ufaransa. Ubelgiji imeshinda 1-0, bao pekee Radja Nainggolan, ingawa zote zinatolewa kwenye michuano hiyo  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: IRELAND YAIPIGA 1-0 ITALIA NA KUFUZU 16 BORA EURO 2016, IBRAHIMOVIC 'OUT' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top