• HABARI MPYA

  Jumapili, Juni 26, 2016

  STEVEN MAPUNDA ‘GARRINCHA’ ENZI ZAKE ALIKUWA HAKAMATIKI SIMBA SC

  Winga wa Simba SC, Steven Mapunda ‘Garrincha’ akimtoka beki wa Malindi FC ya Zanzibar, Abdallah Ali katika mchezo wa Ligi Kuu ya Muungano Novemba 11, mwaka 2001 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: STEVEN MAPUNDA ‘GARRINCHA’ ENZI ZAKE ALIKUWA HAKAMATIKI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top