Nyota wa Argentina, Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia timu yake katika ushindi wa 4-1 Alfajiri ya leo dhidi ya Venezuela kwenye mchezo wa Robo Fainali wa michuano ya Copa America Uwanja wa Gillette Stadium mjini Foxborough, Massachusetts, Marekani. Mabao mengine ya Argentina yalifungwa na Gonzalo Higuain mawili na Erik Lamela, wakati la kufutia machozi la Venezuela lilifungwa na Salomon Rondon PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment