Mshambuliaji wa Ubelgiji, Eden Hazard akishangilia baada ya kuifungia timu yake katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Hungary kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora Euro 2016 Uwanja wa Manisipaa mjini Toulouse, Ufaransa. Mabao mengine ya Ubelgiji yamefungwa na Toby Alderweireld, Michy Batshuayi naYannick Carrasco na Ubelgiji inakwenda Robo Fainali ambako itakutana na Wales PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment