Mwanzo > HABARI PICHA > YANGA SC SASA WANAPASHA UWANJA WA OLIMPIKI HABARI PICHA YANGA SC SASA WANAPASHA UWANJA WA OLIMPIKI Wachezaji wa Yanga SC wakifanya mazoezi ya ya kuamsha misuli Uwanja wa Olimpiki mjini Sousse kabla ya mechi na wenyeji wao, Etoile du Sahel itakayoanza Saa 1:00 usiku kwa saa za huko na Saa 3:00 kwa saa za Afrika Mashariki. Saturday, May 02, 2015 HABARI PICHA
0 comments:
Post a Comment