• HABARI MPYA

    Saturday, May 02, 2015

    VAN PERSIE AKOSA PENALTI, MAN UNITED YAPIGWA 1-0 OLD TRAFFORD

    Angel Di Maria (right) came on after West Brom went ahead in the game but struggled to make an impact for United
    Winga wa Manchester United, Angel Di Maria (kulia) akimtoka beki wa West Brom katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa leo Uwanja wa Old Trafford. West Brom imeshinda 1-0, bao pekee la Jonas Olsson dakika ya 63 katika mchezo ambao, Robin van Persie alikosa penalti dakika ya 74 baada ya Saido Berahino kuunawa mpira.

    PICHA ZAIDI NENDA: 
    http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3065496/Manchester-United-0-1-West-Brom-Robin-van-Persie-misses-penalty-Chris-Brunt-s-vicious-free-kick-deflected-Jonas-Olsson-Baggies-victory-Old-Trafford.html#ixzz3Z0XWfZKA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VAN PERSIE AKOSA PENALTI, MAN UNITED YAPIGWA 1-0 OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top