• HABARI MPYA

    Friday, May 08, 2015

    PEARSON AWABWAGA MOURINHO, WENGER NA MARTINEZ TUZO YA KOCHA BORA ENGLAND

    Leicester City manager Nigel Pearson poses with the Premier League Manager of the Month award for April
    Kocha wa Leicester City, Nigel Pearson akiwa ameshika tuzo yake ya Kocha bora wa Ligi Kuu ya England mwezi Aprili baada ya kukabidhiwa leo. Nigel Pearson amewapiku Jose Mourinho wa Chelsea, Arsene Wenger wa Arsenal na Roberto Martinez wa Everton kushinda tuzo hiyo, baada ya kuiongoza Leicester kushinda mechi nne mfululizo na kuepuka balaa la kushuka daraja.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PEARSON AWABWAGA MOURINHO, WENGER NA MARTINEZ TUZO YA KOCHA BORA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top