• HABARI MPYA

    Saturday, May 09, 2015

    KAMA MAJI HUFUATA MKONDO, ANGALIA DOGO LAKE MRISHO NGASSA SOKSI ZA AZAM JEZI ZA YANGA

    Mshambuliaji chipukizi Nassib Khalfan Ngassa wa akademi ya Almasi, iliyopo eneo la Bwiru mjini Mwanza akifanya mazoezi hivi karibuni.  Nassib anafuata nyayo za kaka yake Mrisho wa Yanga SC na baba yake, Khalfan Ngassa aliyewika Simba SC. Hapa amevaa vifaa ambavyo amepewa na kaka yake Mrisho, soksi za Azam, timu ya zamani ya Ngassa, jezi za Yanga SC. Je, Nassib atafanikiwa kufika mbali kisoka kama kaka yake? Bila shaka hilo ni jambo la kusubiri na kuona.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KAMA MAJI HUFUATA MKONDO, ANGALIA DOGO LAKE MRISHO NGASSA SOKSI ZA AZAM JEZI ZA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top