• HABARI MPYA

    Saturday, May 09, 2015

    DI MARIA AITWA PSG AOKOE KIWANGO

    KLABU ya Paris Saint-Germain inamtaka kwa mkopo winga ambaye hafanyi vizuri Manchester United, Angel di Maria wakiamini wanaweza kupewa baada ya Mashetani hai Wekundu kumpata winga wa PSV, Memphis Depay.
    Di Maria alitua Old Trafford kwa dau la rekodi Pauni Milioni 60 kutoka Real Madrid msimu huu, lakini amejikuta katika mwanzo mgumu Ligi Kuu ya England.
    Na ripoti nchini Ufaransa zinasema kwamba PSG wapo tayari kumpa nafasi Di Maria afufue makali baada ya kukwama England. 
    Angel di Maria arrived at Manchester United last summer from Real Madrid for a record £60million fee
    Angel di Maria alitua Manchester United msimu huu kutoka Real Madrid kwa dau la rekodi Pauni Milioni 60
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DI MARIA AITWA PSG AOKOE KIWANGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top