Beki wa Etoile du Sahel, Brigui Alaya akimkaba mshambuliaji wa Yanga SC, Amissi Tambwe katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika jana Uwanja wa Olimpiki mjini Sousse, Tunisia. Etoile ilishinda 1-0 na kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 2-1, baada ya sare ya 1-1 awali Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment